Mashine ya kutengeneza chakula cha samaki (fish feed pillets)

English
Region: 
Dar es salaam
Sector: 
Fisheries

Mashine ya kutengeneza chakula cha samaki ni nyenzo inayosaidia kuzalisha tambi za kulishia samaki. Mashine hii inaendeshwa kwa umeme wa nyumbani-mkondo mmoja, uwezo wake ni kilogramu 20 kwa saa, mashine inazalishwa na Kaparata Engineering wa SIDO Dar es salaam Mtaa wa Viwanda, Mob.0786603325. 

Manufacturer: 
Kaparata Engineering, SIDO Dar es salaam Industrial Estate, Cel: 0786603325