CHAMA CHA WAZALISHA SABUNI NA VIPODOZI CHAANZISHWA
Kwa muda mrefu Tanzania imekuwa ni miongoni mwa wazalishaji wa sabuni na vipodozi bila ya kuwa na chama cha kuwaleta pamoja wazalishaji hao, hivyo katika kuleta mshikamano na kuchochea ukuaji wa viwanda vidogo, vya kati na vikubwa kumeanzishwa chama cha wazalishaji hao kinachojulikana kama “Cosmetics and Soaps Manufacturer Tanzania (COSOMATA) chenye usajili Na. S.A. 23289 uliotolewa July 25, 2023.
KIGOMA REGIONAL COMMISSIONER VISITED SIDO - KIGOMA
Kigoma Regional Commissioner, Hon. CGF (Mst) Thobius E. M. Andengenye, visited SIDO Kigoma to see various activities carried out at SIDO industrial Estate.
SIDO ORGANIZED FORUM BETWEEN PRODUCERS OF PACKAGING AND SME
In order to ensure packaging materials challenges addressed by Small and Medium Enterprises (SMEs) are taken on board; Small Industries Development Organization (SIDO) organized a stakeholder platform between packaging materials manufacturers and SMEs for the purpose of identifying needs, challenges and opportunities available at the packaging sector in Tanzania.