Lugha

  • English
  • Kiswahili
  • Ingia
Machi 22, 2023
Home
Small Industries Development Organization
  • Kuhusu Shirika
    • Utangulizi
    • Muundo wa Shirika
    • Ofisi za Shirika
    • Dira Na Dhamira
    • Mpango Mkakati
    • Huduma za SIDO
    • Habari za Miradi
    • Wabia na Wafadhili
    • Mawasiliano
  • Teknolojia
    • Upatikanaji wa Teknolojia
    • Kukuza Ubunifu
    • Uhamishaji wa Teknolojia
    • Huduma za Ushauri wa Ki-Ufundi
    • Katalogi za Mashine
  • Mafunzo na Ushauri
    • Kurasimisha Biashara na Bidhaa
    • Kalenda ya Mafunzo
    • Katalogi ya Mafunzo
    • Ushauri, Usimamizi na Uelekezaji
    • Fursa za Uwekezaji
      • Habari za utafiti wa Biashara
      • Uundaji Miradi
      • Upembuzi yakinifu
      • Miundo Mbinu ya Uwekezaji
  • Masoko
    • Vifungashio
    • Ratiba ya Maonesho ya Kibiashara
    • Mianya ya Biashara
    • Katalogi ya Bidhaa na Huduma
    • Machapisho
    • Video za Masoko
  • Huduma za Kifedha
    • Huduma za Mikopo
    • Unganishaji Huduma za Kifedha na Mikopo
    • Mpango wa Dhamana ya Mikopo
    • Ushauri wa Huduma za Kifedha
  • Habari za Kilimo
    • Pembejeo Za Kilimo
    • Wawezeshaji
    • Teknolojia za Usindikaji
    • Wafanyabiashara au Wasindikaji
    • Habari za Masoko
    • Vikundi vya Ushirika wa Wakulima
  • Safu ya Wajasiriamali
    • Orodha ya Wajasiriamali
    • Mafanikio ya Wajasiriamali
    • Taarifa Juu ya Wajasiriamali
    • Collaboration Suite
  • KATIBU MKUU ATEMBELEA MITAA YA VIWANDA SIDO – DSM
    Mheshimiwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Dr. Hashil T. Abdallah, akiwa ameambatana na Mwenyekiti wa Bodi ya SIDO Mhandisi Musa Ally Nyamsingwa walifanya ziara katika eneo la viwanda lililopo SIDO mkoa wa Dar Es Salaam ili kujionea shughuli mbalimbali za wajasiriamali wapangaji wa eneo hilo.
    Maelezo zaidi.............
  • PATA TAARIFA MBALIMBALI KUPITIA MITANDAO YA SIDO
    Shirika la kuhudumia viwanda vidogo (SIDO) limeendelea kutumia njia mbalimbali za mawasiliano ili kutoa taarifa zinazohusu Shirika na huduma zake. Njia zinazotumika katika utoaji taarifa mbalimbali ni pamoja na tovuti ya Shirika, mitandao ya kijamii kama facebook (sidotanzania), twitter(sidotanzania) na instagram(sido_tanzania).
    Maelezo zaidi.............
  • SIDO YASHEREREKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
    Baadhi ya watumishi wa Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO) kutoka SIDO Upanga, wakiwa kwenye matayarisho ya kujumuika na Wanawake wengine wa mkoa wa Dar Es Salaam katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake Duniani Machi 8, 2023 yaliyoazimishwa kimkoa katika viwanja vya Mnazi MMoja jijini Da Es Salaam.
  • WAZIRI MKUU AFANYA ZIARA SIDO KIGOMA
    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Kassim Majaliwa amefanya ziara Mkoani Kigoma ikiwa na lengo la kufanya tathimini ya mafanikio ya mkakati wa kuendeleza zao la mchikichi mkoani humo.
    More Details.....
  • JUKWAA WAZALISHAJI VIFUNGASHIO NA WAJASIRIAMALI LAANZISHWA
    Katika kuhakikisha changamoto ya vifungashio inayolalamikiwa na wajasiriamali walio wengi imepata suluhu, SIDO iliandaa jukwaa la wadau wazalishaji wa vifungashio mbalimbali pamoja na wajasiriamali ili kuweza kubaini mahitaji, changamoto na fursa mbalimbali zilizopo kwenye sekta hii ya vifungashio na ufungashaji Tanzania.
    Maelezo zaidi.............

Matangazo

  • MAWASILIANO YA OFISI ZA MIKOA SIDO
    01/2/2023
    Mpya
zaidi...

Habari na Matukio

  • MAONESHO YA 47 YA KIMATAIFA YA BIASHARA (DITF)
    05/4/2022
  • MAONESHO YA 4 YA SIDO KITAIFA
    05/4/2022
zaidi...

Tovuti Muhimu

  • Benki Kuu Tanzania
  • BRELA
  • Wizara Ya viwanda Na Biashara
  • Wizara Ya Kilimo
zaidi...

Kuhusu

  • Ofisi za Shirika
  • Mpango Mkakati
  • Muundo Wa Shirika

Tembelea

  • Habari na Matukio
  • Matangazo
  • Picha
  • Video
  • Sauti
  • Tovuti Muhimu

Rasilimali

  • Barua Pepe
  • ERMS
  • Eoffice

Msaada

  • Mawasiliano

Follow us

  • Facebook
  • Twitter
  • Instagram
  • Youtube
  • LinkedIn

Hati Miliki © 2023 | Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo Vidogo. Haki Zote Zimehifadhiwa