TAASISI ZA MIKOPO

Wajasiriamali wadogo na wa kati wanahitaji taarifa mbalimbali zinazohusu huduma za kifedha ili kuendeleza au kuanzisha miradi yao ya kiuchumi na kiufundi. Shirika la SIDO hutoa mkopo kwa wajasiriamali hadi kiasi cha shilingi 2,500,000 na shilingi 6,000,000 kwa Mfuko ya NEDF na  RRF kadhalika. wajasiriamali ambao wanahitaji kiasi cha fedha zaidi au huduma ya taarifa mbalimbali juu ya mikopo mbalimbali huweza kuunganishwa na SIDO kwenye Taasisi nyingine za kifedha.
Baadhi ya Taasisi  hizo za kifedha ni kama zifuatazo;

1. National Microfinance Bank (NMB)

2. CRDB Bank PLC

3. DCB Bank

4. Akiba Commericial Bank

5. Equity Bank

6.United Bank of Africa.

9. Bank of Tanzania (BOT)

10. Peoples Bank of Zanzibar

11.Kenya Commercial Bank

Kwa taarifa zaidi kuhusu huduma za uungalishwaji wa wajasiriamali kwenye taasisi nyingine za kifedha, mjasiriamali anaweza kuwasiliana ofisi za sido kwa maelezo zaidi:

OFISI ZA SHIRIKA LA KUHUDUMIA VIWANDA VIDOGO (SIDO)