MASHINE BORA YA KISASA YA KUCHAKATA NGOZI
Upatikanaji wa Technolojia
Ili viwanda vidogo na vya kati viweze kuanzishwa, kukua na hata kuhimili soko vinapaswa kutumia teknolojia mahususi kulingana na bidhaa zinazozalisha. Upatikanaji wa teknoljia hizi uwezeshwa na SIDO kwa kuianisha na kuzisambaza kwa wahitaji. Baada ya teknolojia hizi kuwafikiwa walengwa inatarajiwa viwanda hivi kuongeza tija katika uzalishaji, ufanisi, na ubora wa bidhaa. Teknolojia hizi zinaonyeshwa kwenye Web portal ikiwa kama njia mojawapo ya kuwawezesha wajasiriamali kuzipata; Teknolojia hizi zinaelezwa; jina la teknolojia, umuhimu wake, uwezo wa uzalishaji, nguvu inayotumika katika kuendesha, picha na mtengenezaji/mzalishaji na mawasiliano yake.
MAELEZO
Uendeshaji : Injini ya petroli HP 5.5
Uwezo : Kilo.150 kwa saa
Bidhaa:
MASHINE YA KUCHARANGA/KUKATAKATA MAJANI(FORAGE CHOPPER)
MASHINE YA KUKAMULIA ASALI KWENYE MIZINGA YA VIBAO VYA JUU
Bidhaa:
HONEY PRESSER
MAELEZO
Uendeshaji : 5.5 HP Petrol Engine
Uwezo : Kilo 600-800 kwa saa
Bidhaa:
MASHINE YA KUKUNA MUHOGO(CASSAVA GRATER)
MAELEZO
Nishati: Umeme mota 5 Hp
Uwezo wa kuzalisha: kilo 80 kwa saa
Bidhaa:
MASHINE YA KUTENGENEZA SIAGI YA KARANGA
Mr Renatus Chasuka ni muhunzi ambaye amebuni teknolojia ya kutengeneza nyundo ya umeme katika kurahisisha kazi zake za kila siku.
Bidhaa:
Power hammer