Mashine zimetengeneza kwa chuma chapua ambazo zinatumika kwa ajili ya kubangua korosho.
Upatikanaji wa Technolojia
Ili viwanda vidogo na vya kati viweze kuanzishwa, kukua na hata kuhimili soko vinapaswa kutumia teknolojia mahususi kulingana na bidhaa zinazozalisha. Upatikanaji wa teknoljia hizi uwezeshwa na SIDO kwa kuianisha na kuzisambaza kwa wahitaji. Baada ya teknolojia hizi kuwafikiwa walengwa inatarajiwa viwanda hivi kuongeza tija katika uzalishaji, ufanisi, na ubora wa bidhaa. Teknolojia hizi zinaonyeshwa kwenye Web portal ikiwa kama njia mojawapo ya kuwawezesha wajasiriamali kuzipata; Teknolojia hizi zinaelezwa; jina la teknolojia, umuhimu wake, uwezo wa uzalishaji, nguvu inayotumika katika kuendesha, picha na mtengenezaji/mzalishaji na mawasiliano yake.
The technology of palm oil digestion is one of the vital technology for farmers involved in Agricultural activitie.
Bidhaa:
PALM DIGESTER MACHINE