Ratiba ya Maonesho ya Kibiashara

Ukurasa huu unatoa habari kuhusu sehemu na tarehe za maonesho ya kibiashara yanayotarajiwa kufanyika ndani na nje ya nchi. Kadharika, SIDO huandaa maonesho yake ya Kikanda (kanda inajumuiasha mikoa jirani isiyo pungua mitatu) kwa lengo la kukuza masoko kwa kuvumisha bidhaa za wajasiriamali wanaoshiriki maonesho husika. Katika maonesho, wajasiriamali hupata fursa ya kuonesha bidhaa na pia hupata oda za bidhaa wanazotengeneza.

Jina la Maonesho Wigo Tarehe Eneo Mawasiliano
Siku ya Viwanda Afrika Ya Ndani 05/12/2022 to 10/12/2022 Dar Es Salaam Meneja Mkoa SIDO Dar Es Salaam Mob: Barua pepe: daressalam@sido.go.tz www.sido.go.tz
MAONESHO YA KANDA YA KASKAZINI (Kilimanjaro, Tanga , Manyara and Arusha) Ya Ndani 11/10/2022 to 17/10/2022 Arusha mENEJA WA mKOA SIDO Arusha Mob: 0754 778 360 Barua pepe: arusha@sido.go.tz www.sido.go.tz
MAONESHO YA SIDO KANDA YA KATI (Tabora, Dodoma, Singida, Katavi and Kigoma) Local 19/9/2022 to 26/9/2022 Katavi Meneja wa Mkoa (Kaimu) SIDO Katavi Mob: 0757 641 619 Barua Pepe: katavi@sido.go.tz www.sido.go.tz