Asali halisi ya Miombo
Bidhaa na Huduma za Wajasiriamali
Ukurasa huu unaonesha bidhaa zilizotengenezwa na huduma zinazotolewa na wajasiriamali katika Tanzania. Kupata bidhaa/huduma unayotaka, tafuka kwa mkoa, sekta ya bidhaa/huduma au andika neno linaloendana na bidhaa/huduma unayotafuta, kisha bofya neno “Tafuta”.
Mashinea ya Kuchanganya vyakula vya mifugo, inatengenezwa na Kampuni ya Hugo Metal Fabrication iliyopo Moshi mkoani
Matololi imara yaliyotengenezwa kwa umahiri
Bidhaa zetu ni bora kwa matumizi ya watu wa rika zote
Imetengenezwa kutokana na juisi ya ndizi pamoja na hamira
bee smoker
Nikifaa kinachotumika katika ulinaji wa asali
Made in Tanzania Coffee Drinks
Ukulima wa Miche ya Michungwa Maduma "UWAMM" NI KIKUNDI CHA WAKULIMA KINACHOJIHUSISHA NA UZALISHAJI NA UUZAJI