Ukulima wa Miche ya Michungwa Maduma "UWAMM"

Swahili

Ukulima wa Miche ya Michungwa Maduma "UWAMM" NI KIKUNDI CHA WAKULIMA KINACHOJIHUSISHA NA UZALISHAJI NA UUZAJI WA MICHE YA MICHUNGWA NA JAMII ZAKE.

 

WATEJA WANAKARIBISHWA KUTOA ODA ZAO NA BIDHAA ZITATUMWA KWAO .

Mtu wa kuwasiliana : 
Fredrick Chapumba
Mkoa: 
Tanga
Sekta: 
Agriculture
Anuani: 
Simu: 0713786438