Dira Na Dhamira

Dira
Shirika linaloongoza katika kutoa huduma za biashara na kufungua fursa za ukuaji na ushindani wa wajasiriamali
 
Dhamira
Kuanzisha, kuendeleza na kuimarisha misingi ya ubunifu kwa wajasiriamali kwa kuwapa huduma bora zinazozingatia  taratibu za kibiashara