Lugha

  • English
  • Kiswahili
  • Ingia
Mei 09, 2025
Home
Small Industries Development Organization
  • Kuhusu Shirika
    • Utangulizi
    • Muundo wa Shirika
    • Ofisi za Shirika
    • Dira Na Dhamira
    • Mpango Mkakati
    • Huduma za SIDO
    • Habari za Miradi
    • Wabia na Wafadhili
    • Mawasiliano
  • Teknolojia
    • Upatikanaji wa Teknolojia
    • Kukuza Ubunifu
    • Uhamishaji wa Teknolojia
    • Huduma za Ushauri wa Ki-Ufundi
    • Katalogi za Mashine
  • Mafunzo na Ushauri
    • Kurasimisha Biashara na Bidhaa
    • Kalenda ya Mafunzo
    • Katalogi ya Mafunzo
    • Ushauri, Usimamizi na Uelekezaji
    • Fursa za Uwekezaji
      • Habari za utafiti wa Biashara
      • Uundaji Miradi
      • Upembuzi yakinifu
      • Miundo Mbinu ya Uwekezaji
  • Masoko
    • Vifungashio
    • Ratiba ya Maonesho ya Kibiashara
    • Mianya ya Biashara
    • Katalogi ya Bidhaa na Huduma
    • Machapisho
    • Video za Masoko
  • Huduma za Kifedha
    • Huduma za Mikopo
    • Unganishaji Huduma za Kifedha na Mikopo
    • Mpango wa Dhamana ya Mikopo
    • Ushauri wa Huduma za Kifedha
  • Habari za Kilimo
    • Pembejeo Za Kilimo
    • Wawezeshaji
    • Teknolojia za Usindikaji
    • Wafanyabiashara au Wasindikaji
    • Habari za Masoko
    • Vikundi vya Ushirika wa Wakulima
  • Safu ya Wajasiriamali
    • Orodha ya Wajasiriamali
    • Mafanikio ya Wajasiriamali
    • Taarifa Juu ya Wajasiriamali
  • SIDO YATOA MAFUNZO YA KUONGEZA THAMANI MAZAO YA BAHARINI
    Katika jitihada za SIDO kushiriki Mkakati wa Uchumi wa Bluu, SIDO Dar es Salaam kwa kushirikiana na Umoja Fisheries Association (UFIA) wametoa mafunzo ya kuandaa unga wa lishe kwa kutumia uduvi ambayo ni aina ya dagaa wenye virutubisho lishe kwa kiwango kikubwa wanaopatikana baharini. Mafunzo hayo yalitolewa kwa washiriki 28 wakiwemo wawakilishi wawili kutoka Wilaya ya Mkuranga – Mkoa wa Pwani.
    Habari Zaidi.........
  • WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA AFANYA ZIARA SIDO UPANGA -DSM
    Hivi karibuni, Waziri wa Viwanda na Biashara, Mheshimiwa Dkt. Suleimani Jafo, alifanya ziara katika Ofisi za Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO) - Upanga kwa lengo la kujitambulisha na kusalimiana na wafanyakazi.
    Habari Zaidi.........
  • MAONESHO YA DITF 2024, YAVUTA WAONESHAJI WENGI BANDA -SIDO
    Wajasiriamali toka mikoa yote ya Tanzania Bara na Visiwani wanaopata huduma mbalimbali toka SIDO washiriki, maonesho ya 48 ya Kimataifa, 2024 katika banda la SIDO yaliyoandaliwa na TANTRADE.
    Habari Zaidi
  • WAJASIRIAMALI WANUFAIKA NA MAFUNZO JUU YA UFUNGASHAJI
    Mafunzo juu ya uandaaji chapa (branding), ufungashaji na uwekaji lebo yatolewa kwa wajasiriamali wanaozalisha bidhaa mbalimbali zikiwemo bidhaa za vyakula vya kusindikwa, sabuni na vipodozi n.k. Mafunzo haya yalihusisha pia taasisi za TBS, BRELA, WMA, GSI Tz na Scan Code kwa kuwa kwa namna moja au nyingine wanahusika kwenye utoaji elimu juu vifungashio, ufungashaji, usajili wa majina ya biashara na uwekaji taarifa muhimu kwenye leo.
    Maelezo zaidi......
  • WAJASILIAMALI WANUFAIKA NA MKOPO WA SANVN
    SANVN Viwanda Scheme ni mpango wa uwezeshaji wananchi kuichumi ili kukabiliana na changamoto mbalimbali za uanzishaji na uendelezaji viwanda vidogo na vya kati katika maswala mazima ya upatikanaji wa ujuzi, mitambo, masoko na mitaji. Walengwa wa mpango huu ni wajasiriamali wadogo na wa kati wenye viwanda wanao jishughulisha na uzalishaji wa bidhaa mbalimbali ili kuongeza mnyororo wa thamani.
    Maelezo zaidi.............
  • BIDHAA ZA WAJASIRIAMALI ZAZIDI KUVUTIA MASOKO
    Kupitia Maonesho yanayoandaliwa na SIDO pamoja na wadau mbalimbali wa maendeleo, imeonekana kuwa wajasiriamali wazidi kuboresha bidhaa zao kwenye upande wa usindikaji pamoja na mwonekano wake.
    Maelezo zaidi.............
  • SIDO YAENDELEA KUWAANDAA WATAALAMU WA UJASIRIAMALI (T0Ts)
    SIDO imeendelea kuwaandaa walimu wa ujasiriamali kwa kuwapatia mafunzo yanayojulikana kama TOTs ( Training of Trainers). Mafunzo haya yana lengo la kuwaandaa washiriki kuweza kutoa mafunzo kwa wajasiriamali katika fani mbalimbali zikiwemo usindikaji wa vyakula, utengenezaji wa sabuni, batiki na uokaji.
    Habari Zaidi.........

Matangazo

  • Financial Statements 2022-2023
    21/10/2024
    New
  • MAWASILIANO YA OFISI ZA MIKOA SIDO
    01/2/2023
    Mpya
zaidi...

Habari na Matukio

  • MAONESHO YA 47 YA KIMATAIFA YA BIASHARA (DITF)
    05/4/2022
  • MAONESHO YA 4 YA SIDO KITAIFA
    05/4/2022
zaidi...

Tovuti Muhimu

  • Benki Kuu Tanzania
  • BRELA
  • Wizara Ya viwanda Na Biashara
  • Wizara Ya Kilimo
zaidi...

Kuhusu

  • Ofisi za Shirika
  • Mpango Mkakati
  • Muundo Wa Shirika

Tembelea

  • Habari na Matukio
  • Matangazo
  • Picha
  • Video
  • Sauti
  • Tovuti Muhimu

Rasilimali

  • Barua Pepe
  • ERMS
  • Eoffice
  • PEPMIS

Msaada

  • Mawasiliano

Follow us

  • Facebook
  • Twitter
  • Instagram
  • Youtube
  • LinkedIn

Hati Miliki © 2025 | Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo Vidogo. Haki Zote Zimehifadhiwa