Semina ya wanachama, viongozi wa vyama vya Ushirika wa Akiba na Mikopo (SCCULT)

English

Jumla ya washiriki 61 ambao ni viongozi na wanachama wa vyama vya Akiba na Mikopo kutoka Mikoa mbalimbali ya Tanzania Bara walihudhuria Semina ya Ujasiriamali hapa Bukoba Mjini, Kagera.  Semina iliandaliwa na Chama Kikuu cha Ushirika wa Akiba na Mikopo Tanzania (SCCULT) (1992) Ltd. Pia SIDO Kagera iliwasilisha mada katika Semina hiyo. Mada zilizowasilishwa kwa nadharia  na SIDO Kagera ni ;

UTAMBUZI NA HATUA KUU ZA USINDIKAJI, UHAKIKI WA BIDHAA ZA USINDIKAJI, UFUNGASHAJI UWEKAJI LEBO, MIFUMO YA UFUATILIAJI (BARCODES), KUTAMBUA MIKATABA NA KANUNI ZA BIASHARA PAMOJA NA KUFANYA ZIARA YA KIMAFUNZO KWA WAJASIRIAMALI 3 WA USINDIKAJI MKOANI KAGERA.

 

  1.  

 

Region: 
Kagera
Training Date: 
15/3/2016 to 18/3/2016