Undefined
Mada kuu zitakazofundishwa ni, utangulizi kuhusu ujasiriamali, sifa za kuwa mjasiriamali mahili, tathimini binafsi ya kuwa mjasiriamali mahili, tofauti kati ya mjasiriamalimali mahili na mfanyabiashara. Mafunzo yatafanyika masasi mjini
Region:
Mtwara
Sector:
Training Date:
18/2/2016 to 19/2/2016