20 Aug, 2026
09:00AM - 06:00PM
VIWANJA VYA MAGUFULI - KAHAMA
Shirika la Maendeleo ya Viwanda Vidogo (SIDO) linawakaribisha wajasiriamali, wazalishaji, viwanda vidogo na vya kati, taasisi za Serikali, taasisi za fedha, mashirika ya maendeleo, kampuni binafsi, wabunifu, wavumbuzi na wadau mbalimbali wa sekta ya biashara na viwanda kushiriki katika Maonesho ya 5 ya SIDO Kitaifa 2026, yatakayofanyika katika Viwanja vya Magufuli Kahama, Mkoa wa Shinyanga kuanzia tarehe 21 hadi 30 Oktoba 2026

