WAJASIRIAMALI  WANUFAIKA NA MAFUNZO JUU YA UFUNGASHAJI 
Mafunzo juu ya uandaaji chapa (branding),  ufungashaji na uwekaji  lebo yatolewa kwa wajasiriamali wanaozalisha bidhaa mbalimbali zikiwemo bidhaa za  vyakula vya kusindikwa, sabuni na vipodozi n.k. Mafunzo  haya yalihusisha pia taasisi za TBS, BRELA, WMA, GSI Tz na Scan Code kwa kuwa kwa namna moja au nyingine wanahusika kwenye utoaji elimu juu vifungashio, ufungashaji, usajili wa majina ya biashara na uwekaji taarifa muhimu kwenye leo.