Maonesho ya Interplast - Pack Africa 2026
28 Jan, 2026 10:00AM - 06:00PM Diamond Jubilee Hall

Maonesho ya Interplast - Pack Africa 2026 yanatarajiwa kufanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee - Dar Es Salaam kuanzia tarehe 29 hadi 31/01/2026. Maonesho haya ni mahususi kwa ajili ya kuonesha teknolojia mbalimbali vinavyohusiana na  mifugo, nafaka na usindikaji wa vitu mbalimbali na namna bora ya kuvifungasha. Teknolojia zitakazoonyeshwa ni pamoja na mashine za kusindika  bidhaa mbalimbali, vifungashio mbalimbali n.k. 

Maonesho ya Interplast - Pack Africa 2026
Matangazo
03 Dec, 2025
23 Nov, 2025
Feedbacks

Mrejesho, Malalamiko au Wazo