28 Jan, 2026
09:00AM - 06:00PM
Mnazi Mmoja Grounds
Chama cha Wanawake wafanyabiashara Tanzania (TWCC) wameandaa maonesho ya kutimiza miaka 20 tangu kuanzishwa kwake ambapo sherehe hizo zitaambatana riadha kama njia mojawapo wa kuwezesha wanawake kiuchumi nchini Tanzania. Kauli mbiu ni "Miaka 20 ya kuwawezesha Wanawake katika Biashara". Pamoja na fursa mbalimbali za ushiriki wa maonesho haya, wanachama washiriki wataonesha bidhaa mbalimbal. Marathon ya kuadhimisha miaka 20 ya TWCC itakayofanyika tarehe 01 March 2026.

