AGRISHOW
13 Apr, 2026 09:00AM - 06:00PM Ribeirao Preto - SaoPaulo, BRAZIL

AGRISHOW ni moja ya maonesho makubwa katika ukanda wa Amerika Kusini ambayo hukutanisha kampuni mbalimbali za kilimo pamoja na watengenezaji wa zana za kilimo kutoka Brazili na nchi za ukanda wa Amerika Kusini.

Maonesho haya ni ya 31 toka kuanzishwa kwake ambapo katika onesho la 30 (2025) iliweka  rekodi kwa mikataba ya biashara yenye thamani ya R$ bilioni 14.6, waoneshaji 800, watembeleaji zaid ya 197,000 katika eneo la mita za mraba 520,000

AGRISHOW
Matangazo
03 Dec, 2025
23 Nov, 2025
Feedbacks

Mrejesho, Malalamiko au Wazo