17 Nov, 2026
07:30AM - 12:30PM
STENDI YA ZAMANI YA DALADALA - MOROGORO
MORO EXPO 2026 ni maonesho ya kimkakati ya biashara na uwekezaji yanayolenga kutangaza vivutio vya uwekezaji, fursa za kibiashara na maendeleo ya viwanda vinavyopatikana katika Mkoa wa Morogoro. Maonesho haya yatafanyika kuanzia tarehe 23 hadi 27 Novemba katika Stendi ya Zamani ya Daladala iliyopo Morogoro Mjini

