07 Aug, 2025
09:00 AM - 06:00PM
Nzughuni Grounds - Dodoma
Wakulima wanaofadhiliwa na World Vision katika shughli za kilimo, Ufugaji na Uvuvi ni wakimsikilza Ofisa Muendeleza Biashara Bw. Crispin Kapinga akitoa maelezo ya kina kuhusu teknolojia zilizopo katika banda la SIDO kwenye Maonesho ya Nanenane katika viwanja vya Nzughuni, Mjini Dodoma

