07 Aug, 2025
09:00 AM - 06:00PM
Viwanja vya Nane Nane - Dodoma
Mgeni rasmi wa siku ya tarehe 06/08/2025 Mhe. Dk. Suleiman Serera, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara ametembelea mabanda mbalimbali ikiwemo SIDO ili kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na mashirika na taasisi mbalimbali kwenye Maonesho ya 32 ya Kililimo, Ufugaji na uvuvi maarufu Nane Nane yaliyofanyika kanda ya kati katika viwanja vya Nzughuni - Dodoma .

