Imewekwa: 03 Sep, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Mh. Abdallah Mwaipaya, alizindua mafunzo ya utumiaji wa mashine za kisasa za ubanguaji korosho katika Ofisi ya SIDO Mtwara. Kampuni ya Sourthern Saharan Engineering ambayo ni watengenezaji wa mashine hizo watafungua Ofisi ndani ya SIDO Mtwara. Hivyo yeyote atakayehitaji teknoloja hizi anakaribishwa sana kuchangamkia fursa hii na kuongeza tija kwenye uongezani thamani zao la korosho.
Karibu Tukuhudumie
Pamoja Tujenge Viwanda
#sidotanzania2025

