SIDO TANGA IMEFANYA UZINDUZI WA MRADI WA INCLUSIVE GREEN AND SMART CITIES
Imewekwa: 15 Oct, 2025
SIDO TANGA IMEFANYA UZINDUZI WA MRADI WA INCLUSIVE GREEN AND SMART CITIES

SIDO Tanga imefanya uzinduzi wa mradi wa Inclusive green and Smart Cities tarehe 07/10/2025.  Mradi huu unatekelezwa kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleo la Ubelgiji katika kuwasaidia wajasiriamali kuanzisha na kuendeleza viwanda vidogo. Mgeni rasmi katika ufunguzi huu alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga,  Mh. Dk, Batilda Burian. Pia katika ufunguzi aliweza kuwatembelea wanufaika watarajiwa wa mradi huu.

Matangazo
03 Dec, 2025
23 Nov, 2025
Feedbacks

Mrejesho, Malalamiko au Wazo