Imewekwa: 03 Sep, 2025
SIDO Iringa kwa kushirikiana na kampuni ya BSBI Consultancy wameendesha Semina ya Majadiliano ya Biashara kwa Vijana na Wajasiriamali ambayo ililenga kuwajengea vijana chipukizi uzoefu katika kuanzisha biashara.

