49 DITF 2025 PICTURES
SIDO ilikuwa miongoni mwa mashirika na taasisi zilizoweza kushiriki maonesho ya 49 ya Sabasaba, 2025. Kupitia banda letu la SIDO, wajasiriamali kutoka mikoa mbalimbali waliweza kushiriki kwa kuonesha bidhaa walizotengeneza zikiwemo mashine za kusindika na kuchakata malighafi aina tofauti tofauti, vyakula vya kusindika, ngozi, nguo, na bidhaa za sabuni na vipodozi.
Feedbacks

Mrejesho, Malalamiko au Wazo