Katika kuunga mkono juhudi za Mh. Mkuu wa Mkoa wa Tanga za kuhamasisha matumizi ya nishati safi kwa wafanyabiashara wanaonishughulisha na biashara zinazohushisha mapishi, SIDO Tanga imeazalisha kuzalisha vifaa vya nishati ya gesi vikiwemo mtungi na jiko la lake.

