Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Viwanda na Biashara, Dkt. Suleiman Serera, ametembelea Ofisi ya SIDO - Upanga na kukutana na manejimenti ya SIDO kujadili maendeleo ya Shirika katika kukuza sekta ya viwanda vidogo na vya kati nchini.
Mrejesho, Malalamiko au Wazo