Mafunzo ya uongezaji thamani mazao ya chakula
Baadhi ya wajasiriamali wanaoshiriki mafunzo ya kujengewa uwezo katika uendeshaji wa biashara zao za minyororo ya thamani ya vyakula. Mafunzo hayo yaliendeshwa kupitia mradi wa INCLUSIVE GREEN AND SMART CITIES SASA PROJECT
Feedbacks

Mrejesho, Malalamiko au Wazo