Serikali ya awamu sita inayoongozwa na Mh. Dr. Samia Suluhu Hassan moja ya ahadi zake ni kusaidia Vijana katika swala la uwezeshwaji kiuchumi. Waziri wa Nchi ofisi ya Raisi Maendeleo ya Vijana, Mh. Joel Arthur Nanauka na Mbunge wa jimbo la Mtwara mjini anatekeleza hilo kupitia uanzishwaji wa majukwaa ya Vijana kila Mkoa. Hivi Karibuni, Jukwaa la kuwezesha vijana kiuchumi lilianzishwa mjini Mtwara

