Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dennis Londo ametembelea Ofisi za , Shirika la Maendeleo ya Viwanda Vidogo (SIDO) – Upanga ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kikazi ya kukagua utekelezaji wa majukumu ya Shirika pamoja na kujionea shughuli mbalimbali zinazotekelezwa.

