SIDO Mkoa wa Morogoro umefanyika Uzinduzi wa maeneo ya kufanyia kazi yaani Kongani za Vijana katika kutumiza ahadi ya Mhe. Rais ndani ya Siku 100. Lengo ni kuwahamasisha vijana na kuleta chachu kuanzisha viwanda vidogo ambavyo ni endelevu katika mitaa ya viwanda

