Mheshimiwa Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Judith Kapinga (MB) akipata maelezo kwa kiongozi wa Wajasiriamali kutoka Tabora Bi Ashura wakati alipotembelea Banda la SIDO katika Maonesho ya Kimataifa ya Dar Es Salaam, 2026. Katika maelezo yake, Kiongozi huyu aliweza kuonyesha juhudi mbalimbali zinazofanywa na wajasiriamali hawa wa Tabora ambapo ilipelekea baadhi ya bidhaa kupata alama ya ubora kutoka TBS

