img
SIDO ilikuwa miongoni mwa mashirika na taasisi mbalimbali zilizoweza kushiriki maonesho ya 49 ya Sabasaba, 2025. Kupitia banda letu la SIDO, wajasiriamali kutoka mikoa mbalimbali waliweza kushiriki kwa kuonesha bidhaa walizotengeneza zikiwemo vyakula vya kusindika, bidhaa za ngozi, nguo, sabuni na vipodozi na bidhaa za mashine ya kusindika na kuchakata malighafi za aina tofauti tofauti
Matangazo
03 Dec, 2025
23 Nov, 2025
Feedbacks

Mrejesho, Malalamiko au Wazo