04 Jun, 2025
Pakua
Mkurugenzi Mkuu ameeleza umuhi wa kuwaandaa wajasiriamali katika kushiriki soko huru la africa katika kuongeza nguvu ya uchumi wa Taifa. Wajasiriamali wakifanikiwa, Taifa pia limefanikiwa zaidi. Soko huru la africa ni Letu na tunalimudu.

