MAONESHO YA KIMATAIFA YA 50 YA DAR ES SALAAM, 2026
Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Dar es Salaam (DITF 2026) yamesheheni bidhaa mbalimbali za wajasiriamali kutoka mikoa yote ya Tanzania Bara na Zanzibar, zikionesha ubunifu, ubora na uwezo wa viwanda vidogo na vya kati nchini.
Feedbacks

Mrejesho, Malalamiko au Wazo