Uundaji Miradi

Techno economic profile (TEP) ni andiko ambalo linajumuisha upembuzi wa teknolojia, masoko, fedha, kiuchumi,jamii na mazingira na kutumiwa kama muongozo Katika fursa za uwekezaji.Ili uweze kuandaa ‘TEP’ ucpembuzi yakinifu wa maswala ya masoko huna budi kufanyika ili kubaini uhitaji wa bidhaa/huduma inayohitajika.
SIDO inatumia software ijulikanayo kama COMFAR- Computer Model for Feasibility Analysis and Reporting toka UNIDO kama njia ya kuweza kubaini mradi kama una manufaa na wawekezaji waweze kuamua kufanya uchambuzi yakinifu kuhusiana na uwekezaji huo.
SIDO inatayarisha ‘TEP’ Katika ngazi ya wilaya na kulingana na mkakati wa Wilaya Moja Bidhaa Moja,Osifi za SIDO Mkoa zinatayarisha ‘TEPs’ Katika wilaya zake zote.Andiko haya yanapatikana kwa kuuzwa kwa bei ya makubaliano baina ya SIDO na mwekezaji.

Mkoa:
Iringa
Sekta:
Mkoa:
Iringa
Sekta:
Mkoa:
Iringa
Sekta:
Mkoa:
Iringa
Sekta:
Mkoa:
Iringa
Sekta:

Pages