Katalogi za Mashine
Ili mashine ziweze kufaamika kwa watumiaji njia moja wapo ni kutengeneza na kusambaza katalogi ya mashine kwa njia ya kuiweka kwenye 'Web potal'. Kwa kufanya hivi wajasiriamali watazielewa mashine zinazozalishwa nchini na kuzitumia kulingana na mahitaji ya mmoja mmoja. Mashine hizi onyeshwa; jina la mashine, umuhimu wake, uwezo wa uzalishaji, nguvu inayotumika katika kuendesha, picha na mtengenezaji/mzalishaji na mawasiliano yake.
    Mkoa:     
  
  Dar es salaam
      Sekta:     
  
  Uvuvi
      Mtengenezaji:     
  Kaparata Engineering, Sido Industrial Estate, Cell: 0786603325
      Mkoa:     
  
  Dar es salaam
      Sekta:     
  
  Uhandisi
      Mtengenezaji:     
  Temso Engineering and Construction Company Ltd
  



