Mashine ya kufyatulia tofali kwa nguvu ya mikono

Swahili
Mkoa: 
Dar es salaam
Sekta: 
Uhandisi

Mashine ya kufyatulia tofali ya simenti na mchanga. Mashine hizi hazitumii umeme utumia nguvu ya mikono. Kabla ya kufyatua mchanga na simenti vinahitajika kuchanganywa na baadaye kuweka maji kulingana na viwango vya matofali unayotaka kufyatua. uwezo wa mashine hii ni kufyatua matofali 200 - 300 kwa siku kwa watu 2.

Mtengenezaji: 
Temso Engineering and Construction Company Ltd