Swahili
Malengo:
Wateja waliolengwa watakuwa na uwezo wa kutumia vifaa vya TEHAMA (Teknolojia ya Habari na Mawasiliano) kwa lengo la kukuza biashara na ushindani wa kibiashara.
Moduli:
Jina la moduli:
Maana ya TEHAMA(Teknolojia ya Habari na Mawasiliano)
Maelezo ya Moduli:
1.Vifaa vya TEHAMA na matumizi yake.
2.TEHAMA na biashara.
3.Utafutaji wa taarifa.
4. Huduma za nufuvi.
5.Utunzaji wa kumbukumbu na upitiaji.
Mbinu:
Mfunzo kwa njia ya vitendo
Kundi Husika Linalolengwa:
Wanaotaka kuanza biashara,Waliokwisha anza biashara, waliopo kwa muda mrefu na viwanda vidogo na vya kati.
Ada Ya Programu:
TZs. 100,000 kwa muhusika mmoja (ada,chakula na steshonari)
Muda wa Kozi:
Siku tatu