Swahili
Malengo:
Mwisho wa programu hii wahusika watakuwa na uwezo wa kusimamia biashara zao kwa usahihi na ufasaha.
Moduli:
Jina la moduli:
Kuimarisha Biashara
Maelezo ya Moduli:
1.Tabia za Mjasiriamali.
2. Kuandaa wazo la Biashara.
3. Kuainisha mazingira ya ndani na nje ya wazo la Biashara.
4. Usimamizi wa Biashara.
Jina la moduli:
Kupanua Biashara
Maelezo ya Moduli:
1.Mipango mikakati ya kupanua Biashara.
2.Tathmini ya ukuzaji wa Biashara.
3.Mikakati ya kukuza Biashara.
4.Uandaaji wa Mpango wa Biashara.
Mbinu:
Njia za CEFE kama vile ushirikishwaji wa wanafunzi, mazoezi, majadiliano katika vikundi, Lecture, uwasilishaji wa mtu mmoja mmoja.
Kundi Husika Linalolengwa:
Wanaoanza Biashara , waliomo katika Biashara, viwanda vidogo na vya kati.
Ada Ya Programu:
250,000/= kwa muhusika mmoja (Ada,Chakula na Steshonari)
Muda wa Kozi:
Wiki Mbili