Swahili
Malengo: 
Kuwawezesha wahusika kujifunza na kuanzisha usindikaji wa vyakula katika aina fulani ya bidhaa za vyakula.
Moduli: 
Jina la moduli: 
Bidhaa za vyakula maalumu vilivyochaguliwa.
Maelezo ya Moduli: 
1. Usafi wa Chakula.
2. Kanuni za ubora na uhakika/Udhibiti wa ubora wa chakula.
3. Mafunzo ya vitendo katika utengenezaji wa chakula.
4. Uandaaji wa mpango wa biashara.
      -Tabia za Ujasiriamali.
      -Gharama na upangaji wa bei.
Mbinu: 
Njia ya mafunzo ya ushirikishaji/kujifunza kwa vitendo.
Kundi Husika Linalolengwa: 
Wasindikaji wapya na waliopo kwenye sekta kwa muda mrefu.
Ada Ya Programu: 
TZs 250,000 kwa muhusika mmoja(ada,chakula na steshonari)
Muda wa Kozi: 
wiki moja

