Swahili
Mafunzo ya Uchakataji ngozi za wanyama, yaliyoendeshwa katika kituo cha SIDO TPC Usangi, wilayani Mwanga mkoa wa Kilimanjaro.
Mafunzo yalihusisha uchakataji ngozi na utengenezaji wa bidhaa za ngozi
Kwa maelezo zaidi wasiliana na Alex Masenene 0767 915 086