Swahili
Malengo:
Mwisho wa program hii mafundi cherehani watakuwa na ujuzi wa kutosha juu ya masuala ya kudarizi vitambaa.
Moduli:
Jina la moduli:
Utengenezaji wa darizi
Maelezo ya Moduli:
1.Aina mbalimbali za darizi.
2.Ubunifu wa aina tofauti kwenye mashuka na foronya za mito
3.Ubunifu wa darizi za mashati na magauni.
4.Ubunifu wa darizi kwenye kushen za viti.
Mbinu:
Mafunzo kwa njia ya kushirikishana,mafunzo ya makundi,mafunzo kwa vitendo.
Kundi Husika Linalolengwa:
Mafundi vyerehani wadogo.
Ada Ya Programu:
TZs. 100,000 kwa muhusika mmoja (ada,chakula na steshonari)
Muda wa Kozi:
wiki moja