Swahili
Mada kuu zitakazofundishwa ni , utangulizi kuhusu usindikaji wa vyakula,usalama na usafi katika usindikaji vyakula, mbinu mbalimbali za kuhifadhi vyakula,usindikaji wa vyakula kwa vitendo. Mafunzo yatafanyika masasi
Mkoa:
Mtwara
Sekta:
Tarehe Ya Mafunzo:
22/2/2016 to 26/2/2016