Swahili
Malengo:
Mwisho wa mfunzo haya wahusika watakuwa na uwezo wa kutengeneza vyerehani vyao.
Moduli:
Jina la moduli:
Kurekebisha na kutengeneza vyerehani.
Maelezo ya Moduli:
. Jinsi ya kuchunguza vyerehani.
2.Kulitambua tatizo na kurekebisha.
3.Utunzaji na uendeshaji wa vyerehani.
4. .
5. Utunzaji wa vifaa.
6.Jinsi gani ya kuanzisha karakana ndogo ya kutengeneza na kurekebisha vyerehani.
Mbinu:
Kujifunza kwa kushirikiana,mafunzo kwa uwasilishaji,kujaribisha ujuzi uliopo/uliopatikan.
Kundi Husika Linalolengwa:
Vijana wadogo wenye dhamira ya kutumia vyerehani na kutaka kuanzisha karakana ndogo zinazohusiana na vyerehani.
Ada Ya Programu:
TZs 200,000 kwa muhusika mmoja (ada,chakula na steshonari)
Muda wa Kozi:
wiki nne