MAONESHO YA KANDA YA KATI

Swahili
Tarehe ya Tukio: 
12/9/2020 to 17/9/2020
Wigo: 
Ya Ndani
Mahitaji ya Msingi: 
Maonesho haya ya kanda yanahusisha mikoa ya Dodoma, Katavi, kigoma, Singida, and Tabora
Mawasiliano: 
Kwa maelezo zaidi wasiliana na SIDO MAKAO MAKUU S.L.P 2476 Simu: +255 752 898965 (Meneja wa Masoko) +255 757 641619 (Meneja wa Mkoa - Katavi) Barua pepe: mm@sido.go.tz / katavi@sido.go.tz Tovuti: www.sido.go.tz
Eneo La Tukio: 
KATAVI