Mradi wa kuwawezesha wajasiliamali wanawake kunufaika na ushindani na fursa zilizopo katika biashara za Kimataifa kipindi cha III (July 2015 to December 2016)

Swahili

SIDO imeingia mkataba na Umoja wa Mataifa Wanawake (UN Women) kuwawezesha wanawake wanaofanya biashara ndani ya nchi kuweza kufikia masoko ya kimataifa na kuvuka mipaka ya nchi.