Swahili
Malengo:
Kuwezesha makundi ya wasindikaji wadogo na wa kati kuongeza kipato mashambani kwa kuwezesha na kuhamasisha utumiaji wa teknolojia sahihi kwenye usindikaji.
Moduli:
Jina la moduli:
Usindikaji wa Korosho
Maelezo ya Moduli:
1.Uendeshaji na utunzaji wa mashine.
2.Hatua za ubanguaji korosho.
3.Hatua za ukaushaji/ukaangaji wa korosho.
4.Ufungashaji na uhifadhi wa bidhaa za korosho.
Mbinu:
Mafunzo kwa njia ya vitendo.
Kundi Husika Linalolengwa:
Watu na makundi yaliyo na nia ya kujihusisha na usindikaji wa zao la Korosho.
Ada Ya Programu:
TZs150,000 kwa muhusika mmoja (ada,chakula na steshonari)
Muda wa Kozi:
wiki moja