Swahili
Malengo:
Kuwawezesha wazalishaji wa chumvi kupata ujuzi wa kiteknolojia kwenye uzalishaji wa chumvi.
Moduli:
Jina la moduli:
Usindikaji wa Chumvi.
Maelezo ya Moduli:
1. Uchaguzi na uandaaji wa shamba la chumvi.
2. Usindikaji wa chumvi.
3.Ukaushaji na uvunaji wa chumvi.
4.Uongezaji wa madini kwenye chumvi.
5.Ufungashaji na uhifadhi wa chumvi.
Mbinu:
Chemsha bongo,majadiliano ya kwenye kundi na uwasilishaji,nadharia na mafunzo kwa vitendo.
Kundi Husika Linalolengwa:
Watu wanaoanza shughuli za usindikaji chumvi.
Ada Ya Programu:
TZs. 100,000 kwa muhusika mmoja(ada,chakula na steshonari)
Muda wa Kozi:
Wiki Mbili