Swahili
Malengo:
Mwisho wa program hii wahusika watakuwa na ujuzi wa teknolojia kuhusu uzalishaji wa chaki na kuanzisha biashara za chaki.
Moduli:
Jina la moduli:
Teknolojia ya kutengeneza chaki
Maelezo ya Moduli:
1.Kanuni ya uzalishaji chaki.
2.Uzalishaji wa chaki kwa vitendo.
3.Elimu kuhusu ujasiriamali.
4.Masoko.
5.Gharama.
6. Hatua za ufungaji wa bidhaa.
Mbinu:
Kujifunza kwa kushirikishana, Majadiliano kwa makundi, Uwasilishaji kwa kufundisha, kazi binafsi.
Kundi Husika Linalolengwa:
Viwanda vidogo vinavyotaka kuwekeza kwenye uzalishaji wa chaki.
Ada Ya Programu:
TZs150,000 kwa muhusika mmoja (ada,chakula na steshonari)
Muda wa Kozi:
wiki moja